Mwezi Mmoja
Muda wa Safari

INAWATANGAZIA WAISLAMU WOTE KUWA IMEFUNGUA RASMI USAJILI WA MAHUJAJI 2027
Huduma bora na vipengele vya kipekee vya safari ya Hijja
Muda wa Safari
Kuanzia Makka, Kumalizia Madina
Mawasiliano zinapatikana
Safari kamili na huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo kwa mahujaji wetu
Wasiliana na wataalamu wetu kwa msaada na maelezo zaidi kuhusu safari ya Hijja
Chake chini ya WIZARA YA AFYA
Jirani na panapouzwa Ticket za Sealink
Mchina mwanzo njia ya Jang'ombe
Nyuma ya Masjid Azhar
Kinyelezi Mwisho
Ofisi Kuu
Wasiliana na wataalamu wetu leo na uanze safari yako ya kiroho ya Hijja
Picha za safari za awali na maeneo matakatifu ya Makka na Madina


