
Hijja 2027 / 1448H
Safari kamili ya Hijja kwa mwaka 2027 (1448 Hijriya) huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo.

Safiri nasi kwa huduma bora safari yenye uhakika na kwa viongozi wenye uzoefu wa hali ya juu
Suluhisho kamili za safari za Hajj na Umrah zilizoundwa kufanya safari yako iwe salama, na ya kukumbukwa.

Safari kamili ya Hijja kwa mwaka 2027 (1448 Hijriya) huduma bora za usafiri, makazi, na mafunzo.

Safari ya Umrah ya siku kumi na huduma kamili pamoja na zawadi ya maji ya Zamzam.
01 · Ndege
Usafiri wa ndege wa kampuni zenye viwango vya kimataifa kama :

02 · Makazi
Hoteli za viwango vya juu zilizokuepo karibu sana na miskiti yote miwili ya Makkah na Madinah
03 · Mafunzo
Tunatoa mafuzo na semina za hija kabla ya safari na ndani ya safari
04 · Usafiri
Tunatoa usafiri kutoka kila mkoa mpaka sehemu ya kuondokea na ziara ya maeneo yote matakatifu
05 · Vibali
Bima kamili ya safari inayojumuisha dharura za matibabu, kujaliwa katika safari
06 · Msaada
Msaada Kwa mahujaji wetu Kwa masaa 24/7 kuanzia mwanzo wa safari mpk kurudi kwako Tanzania. Na Msaada wa dharura unaopatikana mda wowote.
Pemba · Unguja · Dar es Salaam
Usafiri unaanza mkoa ulipo — tunakuchukua kutoka kila mkoa mpaka sehemu ya kuondokea.
Makkah
Hoteli karibu na Haram, ziara ya maeneo matakatifu na darsa maalumu kabla na wakati wa ibada.
Madinah
Safari inamalizia Madina — chakula milo mitatu kwa siku pamoja na matibabu masaa 24.
Nyumbani, Tanzania
Msaada wa saa 24/7 kuanzia mwanzo wa safari mpaka kurudi kwako Tanzania.
ZADAAWA HAJJ ni taasisi ya HIJJA inayosafirisha WATANZANIA wote kutoka pande zote za DUNIA kwenda kutekeleza IBADA YA HIJJA
Tunafuata misingi ya Quran na Sunnah katika huduma zetu zote.
Tumejitolea kuhakikisha kila muislamu anajua nafasi yake katika IBADA hio.
Kila mwenye uwezo wa kwenda HIJJA aende HIJJA.

Soma ushuhuda kutoka kwa Mahujaji wetu walioridhika ambao wamekamilisha safari zao za hijja na umrah na Shirika letu la Zadaawa.
“Zadaawa ilifanya safari yangu ya Hajj iwe rahisi sana. Makazi yalikuwa bora, napendekeza yoyote kusafiri na Zadaawa”
“Uzoefu wangu wa Umrah na Zadaawa ulikuwa zaidi ya matarajio. Timu ilikuwa ya kitaalamu, yenye huruma, na ilihakikisha kila kitu kilikuwa kamili.”
“Kutoka kwa ushauri wa mwanzo hadi kurudi nyumbani, Zadaawa ilitoa huduma bora. Mafunzo Bora ya hajj yalinisaidia kufanya ibada zangu kwa usahihi.”
“Makazi karibu na Haram yalikuwa kamili, na usafiri ulikuwa daima kwa wakati. Zadaawa kweli wanajali wahiji wao.”
“Huduma ya kitaalamu kutoka mwanzo hadi mwisho. Timu ilikuwa daima inapatikana kusaidia, na mwelekezo wa kiroho ulikuwa bora.”
“Mimi na familia yangu tulikuwa na uzoefu mzuri wa Umrah na Zadaawa. Kila kitu kilikuwa kilipangwa vizuri na wafanyakazi walikuwa msaada sana.”
Majibu ya haraka kuhusu Hijja, Umrah, gharama na usajili.
ZADAAWA HAJJ ni taasisi ya Hijja inayosafirisha Watanzania kutoka pande zote za dunia kwenda kutekeleza ibada ya Hijja na Umrah. Tuna ofisi Pemba (ofisi kuu), Unguja na Dar es Salaam, na uzoefu wa zaidi ya miaka 13.
Gharama ya Hijja ni $6900. Inajumuisha hoteli karibu na misikiti miwili ya Makkah na Madinah, chakula milo mitatu kwa siku pamoja na matibabu, mabegi mawili ya kusafiria na raskiti moja, ihramu kwa wanaume na kanga kwa wanawake, ziara ya sehemu zote takatifu, kuchinjia mwanah, na darsa maalumu kabla na wakati wa Hijja.
Safari ya Hijja huchukua takriban mwezi mmoja. Safari inanzia Makkah na kumalizia Madinah, na usafiri huanza mkoa ulipo ili kukurahisishia.
Safari ya Umrah ni ya siku kumi na inagharimu TZS 6,000,000 (watu wazima) TZS 5,000,000 (kwa watoto. Huduma kamili ikiwemo hoteli karibu na misikiti miwili, ziara ya maeneo matakatifu na ya kihistoria Makkah na Madinah, hiramu/kanga, mafunzo ya Umrah, na zawadi ya maji ya Zamzam lita 5.
Unaweza kujisajili moja kwa moja mtandaoni kupitia fomu yetu ya Jisajili bila kusumbuka kwenda maofisini, au kutembelea ofisi zetu za Pemba, Unguja na Dar es Salaam, au kupiga simu 0773011414.
Ndiyo. Tunatoa mafunzo na semina za Hijja kabla ya safari na ndani ya safari, vitabu vya mafunzo ya Hijja kwa lugha ya Kiswahili, na tunaandaa makongamano ya elimu ya Hijja kila mkoa kila mwaka.
Pemba (ofisi kuu): Chake chini ya Wizara ya Afya, jirani na panapouzwa tiketi za Sealink. Unguja: Mchina mwanzo njia ya Jang’ombe, nyuma ya Masjid Azhar. Dar es Salaam: Kinyelezi Mwisho.
Tunapatikana katika maeneo muhimu ya Zanzibar na Tanzania Bara
Chake chini ya WIZARA YA AFYA
Jirani na panapouzwa Ticket za Sealink
Ofisi Kuu
Mchina mwanzo njia ya Jang'ombe
Nyuma ya Masjid Azhar
Kinyelezi Mwisho